NYOTA mpya wa Azam FC, Ibrahim Ajib akifanya mazoezi ya kwanza na timu hiyo leo visiwani Zanzibar baada ya kusajiliwa kutoka Simba SC. Azam FC ipo Zanzibar kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi, na leo asubuhi imefanya mazoezi ya mwisho kabla ya kesho Jumanne kumenyana na Meli 4 City kwenye Uwanja wa Amaan Saa 2.15 usiku.
CAF confirm date and venue for CHAN 2024 Draw
-
CAF has confirmed the official draw for the 2024 TotalEnergies African
Nations Championship (CHAN) will take place on 15th January 2025. Kenyatta
Interna...
Raja Casablanca upset Mamelodi Sundowns
-
Miguel Cardoso’s honeymoon at Mamelodi Sundowns is over after the coach
suffered his first defeat with the club. Sundowns lost 1-0 to Moroccan
giants Raj...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment