DAVID UDO; MIDO MNIGERIA ANAYEWANIA KUSAJILIWA SIMBA SC
KIUNGO Mnigeria, David Udoh jana aliichezea Simba SC katika mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi ikitoa sare ya bila kufungana na wenyeji, Mlandege SC Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Udoh kwa pamoja na winga Muivory Coast, Cheick Ahmed Tenena Moukoro na kiungo mwingine, Msudan Sharaf Eldin Shiboub wapo Simba kwa majaribio kupitia michuano hii ya Mapinduzi na atakayemvutia kocha Mspaniola, Pablo Franco Martin atasajiliwa.
Preview: Arsenal v Ipswich Town
-
Get all the pre-match team news, stats, quotes, tactics and live TV
coverage in our essential guide to our festive fixture
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment