TIMU ya Chelsea imefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya kuichapa Tottenham Hotspur 1-0 usiku wa Jumatano Uwanja wa Tottenham Jijini London. Bao pekee la Chelsea limefungwa na Antonio Rudiger dakika ya 18 na kwa matokeo hayo, The Blues inakwenda Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-0 kufuatia kushinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza na itakutana na mshindi kati ya Arsenal na Liverpool.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment