MABAO ya Hakim Ziyech dakika ya 47 na Thiago Silva dakika ya 55, yameipa Chelsea ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku was Jumapili Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Chelsea inafikisha pointi 47 katika mchezo wa 24, ingawa inabaki nafasi ya tatu ikizidiwa pointi moja na Liverpool ambayo pia ina mechi mbili mkononi, wakati Spurs inabaki na pointi zake 36 za mechi 20 katika nafasi ya saba.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment