WENYEJI, Aston Villa usiku jana wamelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester United Uwanja wa Villa Park Jijini Birmingham. Mabao ya Man United yalifungwa na Bruno Fernandes yote dakika ya sita na 67, wakati ya Aston Villa yalifungwa na Jacob Ramsey dakika ya 77 na mchezaji mpyam Philippe Coutinho dakika ya 81. United wanafikisha pointi 32 katika mchezo wa 20 sasa wakiwa nafasi ya saba, wakati Villa inatimiza pointi 23 mechi 20 pia nafasi ya 13.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment