Monday, January 31, 2022
BEKI Mzanzibari, Abdallah Kheri 'Sebbo' ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuchezea Azam FC. Sebbo amesaini mkataba huo leo...
NANI KUCHEZA NA NANI 16 BORA ASFC
Monday, January 31, 2022
MECHI za Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zitachezwa mwishoni mwa...
MAN UNITED YAMSIMAMISHA MASON GREENWOOD
Monday, January 31, 2022
KLABU ya Manchester United imetangaza kumsimamisha kwa muda mshambuliaji wake, Mason Greenwood ambaye anashikiliwa na jeshi la Polisi kwa tu...
Sunday, January 30, 2022
MISRI NA SENEGAL ZAKAMILISHA NUSU FAINALI AFCON
Sunday, January 30, 2022
TIMU ya taifa ya Senegal imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 3-1 dhidi ya Equatorial Guinea us...
SIMBA SC YAFUTA GUNDU KWA DAR CITY, YAICHAPA 6-0
Sunday, January 30, 2022
MABINGWA watetezi, Simba SC wamefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federa...
YANGA SC 1-0 MBAO FC (KOMBE LA TFF)
Sunday, January 30, 2022
CAMEROON NA BURKINA ZATINGA NUSU FAINALI AFCON
Sunday, January 30, 2022
WENYEJI, Cameroon wamefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Gambia jana Uwanja Douala....
Saturday, January 29, 2022
MAYELE AIPELEKA YANGA 16 BORA KOMBE LA TFF
Saturday, January 29, 2022
VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kutinga Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (...
JULIANA RUGUMISHA KUIWAKILISHA TANZANIA FACE AFRICA
Saturday, January 29, 2022
BINTI Juliana Rugumisha, amepata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Future Faces Africa Grand Finale 2022 yanayotarajia ku...
Friday, January 28, 2022
AZAM, NAMUNGO NA PAMBA ZASONGA MBELE ASFC
Friday, January 28, 2022
BAO la Nahodha, beki mkongwe Aggrey Morris dakika ya 30 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Transit Camp katika mchezo wa Hatua ya 32 Bo...
SHABANI NA MAREFA YANGA NA POLISI WAFUNGIWA
Friday, January 28, 2022
BEKI Mkongo wa Yanga SC, Djuma Shabani amefungiwa mechi tatu za kutozwa faini ya Sh. Milioni 1 kwa kumpiga kiwiko mchezaji wa Polisi Tanzani...
KOCHA WA SIMBA AFUNGIWA NA FAINI MILIONI 2
Friday, January 28, 2022
KOCHA Mspaniola wa Simba SC, Pablo Franco Martin ametozwa faini ya Sh. Milioni 2 jumla kwa makosa mawili yanayofanana na kufungiwa mechi tat...
HERSI AONYWA, MASHABIKI WAIPONZA COASTAL
Friday, January 28, 2022
KIONGOZI wa klabu ya Yanga, Hersi Said amepewa onyo kali kwa kosa la kuingia uwanjani kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya wen...
SIMBA NA YANGA ZATOZWA FAINI KWA MAKOSA TOFAUTI
Friday, January 28, 2022
KLABU za Simba na Yanga zote zometozwa faini kwa makosa kadhaa kwenye michezo yake ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara mwezi huu, Taarifa ya Bodi y...
MAREFA WA KIKE WA TANZANIA KUCHEZESHA KOMBE LA DUNIA
Friday, January 28, 2022
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limewateua marefa wa kike wa Tanzania, Florentina Zabron, Janeth Balama, Helen Mduma na Tatu Malogo kuchezes...
REFA KOMBA APEWA MAJUKUMU MENGINE NA CAF
Friday, January 28, 2022
SHIRIKISHO la Soka Afrika limemteua refa wa Tanzania, Frank Komba katika orodha ya Waamuzi watakaochezesha mchezo wa hatua ya Makundi Ligi y...
Thursday, January 27, 2022
MILIKI NYUMBA YA NDOTO YAKO FUMBA
Thursday, January 27, 2022
Unaweza kumiliki nyumba ya ndoto zako Zanzibar. Karibu Fumba Uptown Living, Zanzibar. You can own your dream house in Zanzibar. Welcome to F...
DODOMA JIJI, POLISI ZASONGA MBELE KOMBE LA TFF
Thursday, January 27, 2022
TIMU ya Dodoma Jiji FC imefanikiwa kwenda Hatua ya 16 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya Sumba...
YANGA WAKIIFANYIA MAZOEZI MBAO FC LEO KIRUMBA
Thursday, January 27, 2022
KIUNGO mpya Mkongo wa Yanga, Chico Ushindi akifanya mazeozi leo Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa Hatua ya 32 Bora ...
SIMBA SC WAREJEA KUPOZA MACHUNGU KWA DAR CITY
Thursday, January 27, 2022
MSHAMBULIAJI Mkongo wa Simba SC, Chris Kope Mutshimba Mugalu aliteremka kwenye ndege baada ya ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ju...
HAPPY BIRTHDAY MHE RAIS SAMIA
Thursday, January 27, 2022
Tunamtakia Heri ya Kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿�� We wish a Ha...
KAGERA SUGAR 1-0 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, January 27, 2022
MISRI YATINGA ROBO FAINALI AFCON, IVORY COAST NA MALI NJE
Thursday, January 27, 2022
MABINGWA wa kihistoria, Misri wamefanikiwa kwenda Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Ivory Coas...
Wednesday, January 26, 2022
MSIMAMO WA LIGI KUU BAADA YA KILA TIMU KUCHEZA MECHI 13
Wednesday, January 26, 2022
MSIMAMO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ulivyo sasa baada ya mechi 13 za awali za msimu.
KIIZA ATOKEA BENCHI KUIUA SIMBA KAITABA
Wednesday, January 26, 2022
MSHAMBULIAJI mkongwe wa kimataifa wa Uganda, Hamisi Kiiza ‘Diego’ ametokea benchi kuifungia bao pekee Kagera Sugar ikiibuka na ushindi wa 1-...
Subscribe to:
Posts (Atom)