
Saturday, December 31, 2022

VINARA wa Ligi Kuu ya England, Arsenal wameuaga mwaka 2022 kwa ushindi wa ugenini wa 4-2 dhidi ya Brighton & Hove Albion leo Uwanja wa T...
MAN UNITED YAICHAPA WAKATI WOLVES 1-0 MOLINEUX
Saturday, December 31, 2022
TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa ugenini wa bao 1-0 dhidi ya Wolverhampton Wanderers katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uw...
MAN CITY YAAMBULIA SARE 1-1 KWA EVERTON
Saturday, December 31, 2022
MABINGWA watetezi, Manchester City wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Everton Uwanja wa Etihad Jijini Manchester. Mshambuliaji Mnor...
AZAM FC YAMALIZA MWAKA NA USHINDI WA 6-1 DHIDI YA MBEYA CITY
Saturday, December 31, 2022
WENYEJI, Azam FC wamefunga mwaka kwa kishindo baada ya kuwatandika Mbeya City mabao 6-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanj...
MTIBWA SUGAR 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, December 31, 2022
YANGA YAMALIZA MWAKA KWA USHINDI WA 1-0 MANUNGU
Saturday, December 31, 2022
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameuga mwaka 2022 kwa ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
BODI YAFANYA MAREKEBISHO RATIBA LIGI KUU KUPISHA MAPINDUZI CUP
Saturday, December 31, 2022
BODI ya Ligi imefanya marekebisho maalum ya ratiba ya Ligi Kuu ya Tanzania Bara kupisha michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza ...
SIMBA SC 7-1 TANZANIA PRISONS (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, December 31, 2022
DODOMA JIJI YAWACHAPA KAGERA SUGAR 2-0
Saturday, December 31, 2022
WENYEJI, Dodoma Jiji FC wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Ijumaa ...
RONALDO AMFUATA MSUVA SAUDI ARABIA
Saturday, December 31, 2022
MSHAMBULIAJI Mreno, Cristiano Ronaldo amejiunga na Al-Nassr ya Saudi Arabia kama mchezaji huru baada ya kuachana na Manchester United mwezi ...
LIVERPOOL YAICHAPA LEICESTER CITY 2-1 ANFIELD
Saturday, December 31, 2022
TIMU ya Liverpool imepata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Leicester City usiku wa Ijumaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfiel...
Friday, December 30, 2022
BOCCO NA NTIBANZOKIZA WAPIGA HAT TRICK SIMBA YAITANDIKA PRISONS 7-1
Friday, December 30, 2022
WENYEJI, Simba SC wamefunga mwaka vizuri baada ya ushindi wa mabao 7-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
SINGIDA STARS YAICHAPA GEITA GOLD 2-1 LITI
Friday, December 30, 2022
WENYEJI, Singida Big Stars wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa LI...
AZAM FC YAWATEMA SALULA NA CHILUNDA
Friday, December 30, 2022
KLABU ya Azam FC imetangaza kuachana na wachezaji wake wawili, kipa Ahmed Ali Suleiman ‘Salula’ na mshambuliaji Shaaban Iddi Chilunda. Hao w...
10BET TANZANIA YATAJA WASHINDI WA PROMOSHENI YA KOMBE LA DUNIA
Friday, December 30, 2022
KAMPUNI ya michezo ya kubahatisha ya 10bet imetangaza wazawadia washindi mbalimbali 50 wa promosheni ya kombe la dunia (WC Bonanza Promotion...
MFALME WA SOKA DUNIANI PELE AFARIKI DUNIA
Friday, December 30, 2022
MFALME wa soka duniani, Edson Arantes do Nascimento ‘Pele’ amefariki dunia jana akiwa ana umri wa miaka 82 baada ya kusumbuliwa na maradhi k...
Thursday, December 29, 2022
MAN CITY YAWACHAPA LEEDS UNITED 3-1 ELLAND ROAD
Thursday, December 29, 2022
TIMU ya Manchester City jana imewatandika wenyeji, Leeds United mabao 3-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Elland Road Jijini ...
Wednesday, December 28, 2022
YANGA SC YATUMA BARUA AZAM FC KUWATAKA AKAMINKO NA KIPRE
Wednesday, December 28, 2022
KLABU ya Yanga SC imewasilisha barua kuomba kumsajili kiungo Mghana, James Akaminko na winga Muivory Coast Kipre Junior wote wa Azam FC.
MAN UNITED YAIBAMIZA NOTTINGHAM FOREST 3-0 OLD TRAFFORD
Wednesday, December 28, 2022
WENYEJI, Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Nottingham Forest katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana U...
CHELSEA YAICHAPA BOURNEMOUTH 2-0 DARAJANI
Wednesday, December 28, 2022
WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya AFC Bournemouth katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Sta...
Tuesday, December 27, 2022
KMC 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Tuesday, December 27, 2022
SINGIDA BIG STARS YAWAPIGA DODOMA JIJI 1-0 PALE PALE JAMHURI
Tuesday, December 27, 2022
BAO pekee la nyota Mbrazil, Bruno Gomes dakika ya 80 limeipa Singida Big Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Dodoma Jiji FC katika mchezo...
TAFSIRI ZA KISHERIA NA SABABU ZA FEISAL KUVUNJA MKATABA YANGA...
Tuesday, December 27, 2022
Na Oscar Oscar, Dar es Salaam TATIZO kubwa la nchi yetu, kila anayejua Lugha ya Kiingereza anadhani anaweza Kutafsiri Document ya Kisheria. ...
Monday, December 26, 2022
POLISI TANZANIA YATOA SARE 3-3 NA COASTAL MOSHI
Monday, December 26, 2022
WENYEJI, Polisi Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana mabao 3-3 na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja w...
SIMBA SC YAICHAPA KMC 3-1 UWANJA WA CCM KIRUMBA
Monday, December 26, 2022
VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya KMC leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa CCM Kirumba Jijini...
AZAM FC 2-3 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, December 26, 2022
Sunday, December 25, 2022
'NO FEISAL, NO PROBLEM' JANGWANI, YANGA YAICHAPA AZAM FC 3-2
Sunday, December 25, 2022
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameonyesha wanaweza kuendelea kufanya vizuri bila kiungo Feisal Salum Abdallah aliyesusa akishinikiza kuondoka ...
KAGERA SUGAR YALAZIMISHWA SARE 2-2 NA GEITA GOLD KAITABA
Sunday, December 25, 2022
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukob...
PRISONS YAICHAPA MBEYA CITY 2-1 SOKOINE
Sunday, December 25, 2022
TIMU ya Tanzania Prisons imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya mahasimu wao wa Jiji, Mbeya City leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Mab...
INONGA AONGEZA MKATABA SIMBA SC HADI MWAKA 2025
Sunday, December 25, 2022
BEKI Hennock Inonga Baka ‘Varane’ ameongeza mkataba wa kuitumikia klabu ya Simba hadi mwaka 2025.
WAWILI TU WAPITISHWA KUWANIA UENYEKITI SIMBA SC
Sunday, December 25, 2022
WAKILI Moses Stewart Kaluwa amepitishwa kugombea nafasi ya Uenyekiti wa klabu ya Simba dhidi ya Mwenyekiti wa sasa, Mbunge wa zamani wa Kilw...
Saturday, December 24, 2022
BUSWITA APIGA BAO PEKEE NAMUNGO YAICHAPA RUVU 1-0
Saturday, December 24, 2022
BAO pekee la kiungo Pius Buswita dakika ya 42 limeipa Namungo FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzani...
IHEFU SC YAICHAPA MTIBWA SUGAR 3-1 MBARALI
Saturday, December 24, 2022
WENYEJI, Ihefu SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Highland ...
SAKATA LA FEI TOTO NA YANGA NI MOTO
Saturday, December 24, 2022
SAKATA la kiungo wa Kimataifa wa Tanzania, Feisal Salum Abdallah na Yanga limechukua sura mpya kufuatia mchezaji huyo kuomba kuondoka na kul...
SIMBA SC YAMSAJILI NTIBANZOKIZA KUTOKA GEITA GOLD
Saturday, December 24, 2022
KLABU ya Simba imetangaza kumsajili kiungo mkongwe Mrundi, Said Ntibanzokiza kutoka Geita Gold, akiwa mchezaji wake wa kwanza kabisa mpya di...
SIMBA QUEENS 1-1 YANGA PRINCESS (LIGI YA WANAWAKE TZ BARA)
Saturday, December 24, 2022
Friday, December 23, 2022
SIMBA QUEENS NA YANGA PRINCESS ZAGAWANA POINTI KWA SARE YA 1-1
Friday, December 23, 2022
TIMU za Simba Queens na Yanga Princess zimegawana pointi katika mechi ya Ligi Kuu ya Wanawake jana Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es S...
Thursday, December 22, 2022
KAGERA SUGAR 1-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Thursday, December 22, 2022
Wednesday, December 21, 2022
SIMBA SC YATOA SARE NA KAGERA SUGAR 1-1 KAITABA
Wednesday, December 21, 2022
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa K...
GEITA GOLD YATOA SARE 1-1 NA AZAM FC NYANKUMBU
Wednesday, December 21, 2022
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Nyankumbu ...
PRISONS YAICHAPA DODOMA JIJI 2-0 SOKOINE
Wednesday, December 21, 2022
WENYEJI, Tanzania Prisons wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja w...
KABURU, MANGUNGU WAITWA KWENYE USAILI UCHAGUZI SIMBA SC
Wednesday, December 21, 2022
MWENYEKITI wa sasa wa Simba SC, Murtaza Ally Mangungu pamoja na Makamu Mwenyekiti wa zamani, Geoffrey Nyange ‘Kaburu’ ni miongoni mwa wagomb...
RAIS YANGA ASEMA WATASAJILI NYOTA KUBORESHA KIKOSI
Wednesday, December 21, 2022
RAIS wa klabu ya Yanga, Injinia Hersi Said amesema klabu yake itasajili nyota kadhaa kuboresha kikosi kuelekea hatua ya makundi ya Kombe la...
NAMUNGO FC YAICHAPA IHEFU SC 2-0 MAJALIWA
Wednesday, December 21, 2022
WENYEJI, Namungo FC wameibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ihefu SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumanne Uwanja wa Maj...
YANGA SC 3-0 COASTAL UNION (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, December 21, 2022
Tuesday, December 20, 2022
MAYELE APIGA MBILI YANGA YAICHAPA COASTAL UNION 3-0 DAR
Tuesday, December 20, 2022
MSHAMBULIAJI Mkongo, Fiston Kalala Mayele amefunga mabao mawili kuiwezesha Yanga SC kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Coastal Union ya Tan...
RUVU SHOOTING NA MTIBWA SUGAR ZATOKA 0-0 UHURU
Tuesday, December 20, 2022
TIMU za Mtibwa Sugar na Ruvu Shooting zimegawana pointi baada ya sare ya bila kufungana leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam. Kwa sare ...
AZAM FC YAACHANA RASMI NA IBRAHIM AJIBU
Tuesday, December 20, 2022
KLABU ya Azam FC imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji, Ibrahim Ajibu Migomba iliyemsajili Desemba mwaka jana kutoka Simba SC.
HATIMAYE DK MSOLLA AMKABIDHI OFISI INJINIA HERSI YANGA
Tuesday, December 20, 2022
HATIMAYE Rais wa Yanga SC, Mhandisi Hersi Ally Said leo amekabidhiwa rasmi ofisi na Uongozi uliopita chini ya Mwenyekiti Dk. Mshindo Msolla ...
Monday, December 19, 2022
YANGA SC 3-0 POLISI TANZANIA (LIGI KUU TZ BARA)
Monday, December 19, 2022
NI MESSI NA ARGENTINA BINGWA KOMBE LA DUNIA 2022
Monday, December 19, 2022
HATIMAYE Lionel Messi amefanikiwa kutwaa Kombe la Dunia baada ya ushindi wa Argentina wa penalti 4-2 kufuatia sare ya kufungana mabao 3-3 nd...
GEITA GOLD 0-5 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Monday, December 19, 2022
Sunday, December 18, 2022
SIMBA SC YAITANDIKA GEITA GOLD 5-0 KIRUMBA
Sunday, December 18, 2022
VIGOGO, Simba SC wameibuka na ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya wenyeji, Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa CC...
DODOMA JIJI YAWAPIGA MBEYA CITY 2-1 PALE PALE SOKOINE
Sunday, December 18, 2022
TIMU ya Dodoma Jiji FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Sok...
Saturday, December 17, 2022
YANGA SC YAITANDIKA POLISI 3-0 NA 'KUTANUA KIFUA' KILELENI
Saturday, December 17, 2022
MABINGWA watetezi, Yanga SC wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanj...
SINGIDA STARS YAICHAPA PRISONS 2-1 PALE PALE SOKOINE
Saturday, December 17, 2022
TIMU ya Singida Big Stars imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwan...
IHEFU SC YAICHAPA RUVU SHOOTING 2-0 CHAMAZI
Saturday, December 17, 2022
TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam Complex, C...
KAGERA SUGAR YATOA SARE 2-2 NA AZAM FC KAITABA
Saturday, December 17, 2022
WENYEJI, Kagera Sugar wamelazimishwa sare ya 2-2 na Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba. ...
MTIBWA SUGAR YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA NAMUNGO MANUNGU
Saturday, December 17, 2022
WENYEJI, Mtibwa Sugar wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara leo Uwanja wa Manun...
Thursday, December 15, 2022
AZAM
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
KOMBE LA MAPINDUZI
NAMUNGO FC
SIMBA
SINGIDA UNITED
YANGA
ZANZIBAR
SIMBA, YANGA NA AZAM ZATENGANISHWA KOMBE LA MAPINDUZI
Thursday, December 15, 2022
MABINGWA watetezi, Simba SC wamepangwa Kundi C pamoja na Mlandege na KVZ katika michuano ya Kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza Januari ...
AZAM
HABARI MOTOMOTO
HABARI ZA NYUMBANI
KOMBE LA MAPINDUZI
NAMUNGO FC
SIMBA
SINGIDA UNITED
YANGA
ZANZIBAR
BEN POL AJA KAZI MPYA HATARI INAITWA NYUMBANI
Thursday, December 15, 2022
MSANII nguli wa Muziki hapa nchini Behnam Paul maarufu kama Ben Pol ameachia kibao kipya kinachofahamika kama Nyumbani. Katika wimbo wa Nyum...
UFARANSA YAIFUATA ARGENTINA FAINALI KOMBE LA DUNIA
Thursday, December 15, 2022
MABINGWA watetezi, Ufaransa wamefanikiwa kwenda Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Morocco jana Uwanja wa Al Bayt mj...
Wednesday, December 14, 2022
ARGENTINA YATINGA FAINALI KOMBE LA DUNIA
Wednesday, December 14, 2022
TIMU ya Taifa ya Argentina imefanikiwa kwenda Nusu Fainali ya Kombe la Dunia baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Croatia jana Uwanja wa Lusail ...
Tuesday, December 13, 2022
TIMU 32 ZILIZOSALIA MICHUANO YA AZAM FEDERATION CUP
Tuesday, December 13, 2022
HIZI ndizo timu zilizofuzu Hatua ya 32 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC).
Monday, December 12, 2022
YANGA YARUDISHWA TUNISIA KOMBE LA SHIRIKISHO
Monday, December 12, 2022
TIMU ya Yanga imeapangwa Kundi D pamoja na Monastir ya Tunisia, TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Real Bamako ya Mali ...
SIMBA SC YAPANGWA NA RAJA, HOROYA NA VIPERS YA UGANDA
Monday, December 12, 2022
TIMU ya Simba SC ya Tanzania imepangwa Kundi C pamoja na Raja Casablanca ya Morocco, Horoya ya Guinea na Vipers ya Uganda katika Hatua ya 16...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA GODWIN ASWILE
Monday, December 12, 2022
YANGA SC 8-0 KURUGENZI (ASFC)
Monday, December 12, 2022
Sunday, December 11, 2022
YANGA NAYO YASHINDA 8-0 NA KUSONGA MBELE ASFC
Sunday, December 11, 2022
MABINGWA watetezi, Yanga SC wamefanikiwa kwenda Raundi ya Tatu ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Feder...
Subscribe to:
Posts (Atom)