// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
YANGA KUNDI B, SIMBA KUNDI C MAPINDUZI CUP 2022 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEYANGA KUNDI B, SIMBA KUNDI C MAPINDUZI CUP 2022 - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepangwa Kundi B katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2022 pamoja na wenyeji, Taifa Jang’ombe na KMKM zote za Zanzibar. Washindi wa pili wa msimu uliopita, Simba SC wao wapo Kundi C pamoja na wenyeji watupu pia, Sellem View na Mlandege FC, wakati Kundi A lina timu mbili za kila upande, Azam FC na Namungo za Bara na Yosso Boys na Meli City za Zanzibar. Michuano hiyo itaanza Jumapili ya Januari 2, mwakani na Simba watacheza Januari 6 dhidi ya Sellem View, wakati Yanga watamenyana na Taifa siku inayofuata mechi zote zikipigwa Uwanja wa Amaan.
Preview: Preston North End v Arsenal
-
Get the team news, key facts and stats, quotes, tactics, TV coverage and
more ahead of our Carabao Cup clash against Preston
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment