TANZANIA imeibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Burundi jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam katika mchezo wa Raundi ya Tatu kuwania tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Wasichana chini ya umri wa miaka 20. Mabao ya Tanzanite leo yamefungwa na Clara Luvanga dakika ya tisa, Joyce Lema dakika ya 15 na Aisha Masaka dakika ya 44, wakati ya Burundi yamefungwa na Estella Gakima dakika ya 22 na Noella dakika ya 58. Timu hizo zitarudiana Desemba 18 mjini Bujumbura na mshindi wa jumla atakutana na mshindi kati ya Botswana na Ethiopia katika Raundi ya Nne.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment