KIKOSI cha Simba kimeondoka leo asubuhi kwenda Zambia kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, Red Arrows Jumapili Uwanja wa Taifa wa Mashujaa Jijini Lusaka. Simba SC inahitaji kuulinda ushindi wake wa 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ili kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia yake.
Press Conference: End of Year Address
-
Dear Members of Sports Media, You are kindly invited to attend and cover
the End of Year address on football matters by FUFA President Hon. Magogo
Moses ...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment