TIMU ya Namungo FC imepata ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Sokoine Jijini Mbeya. Kwa ushindi huo uliotokana na bao la mshambuliaji Relliant Lusajo dakika ya tisa, Namungo FC inafikisha pointi 11 na kupanda hadi nafasi ya sita, wakati Mbeya Kwanza inabaki na pointi zake saba na kushukia nafasi ya 15 baada ya timu zote kucheza mechi tisa.
Kiwanuka late strike guides Uganda past Burundi
-
Uganda secured a late win over Burundi as the two teams faced off on Sunday
at Hamz Stadium in the return leg of the 2024 African Nations Champions
(CHAN...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment