TIMU ya Namungo FC imeibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mabatini, Mlandizi mkoani Pwani. Mabao ya Namungo FC yamefungwa na Relliant Lusajo dakika ya na Jacob Massawe dakika ya 58, wakati la Ruvu Shooting limefungwa na Rashid Juma dakika ya 46. Kwa ushindi huo, Namungo FC inafikisha pointi tisa na kupanda nafasi ya saba, wakati Ruvu Shooting inabaki na pointi zake tisa katika nafasi ya nane ikizidiwa wastani wa mabao na wapinzani wao wa leo baada ya wote kucheza mechi nane.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment