• HABARI MPYA

        Wednesday, December 15, 2021

        MTIBWA SUGAR YAMTUPIA VIRAGO KOCHA OMOG


        KOCHA ya Mtibwa Sugar imetangaza kuachana na kocha Mcameroon, Joseph Marius Omog baada ya miezi miwili tu tangu aajiriwe. 

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: MTIBWA SUGAR YAMTUPIA VIRAGO KOCHA OMOG Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry