KLABU ya Mtibwa Sugar imemtambulisha winga mkongwe wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Kanda A Mukok kuwa mchezaji wake mpya wa kwanza katika dirisha hili dogo la Usajili.
Kanda pamoja na kuwika AS Vita ya Kinshasa na TP Mazembe, DC Motema Pembe za Lubumbashi, kwao DRC na Raja Casablanca ya Morocco, pia amewahi kucheza Simba SC ya Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment