• HABARI MPYA

        Thursday, December 30, 2021

        KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI


        KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam ni Sh. 5,000 kwa mzunguko.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry