• HABARI MPYA

        Tuesday, December 21, 2021

        IDDI NADO BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI AFRIKA KUSINI


        KIUNGO wa Azam FC, Iddi Suleiman ’Nado’ akiwa na Daktari wa timu, Mwanandi Mwankemwa baada ya kufanyiwa upasuaji nchini Afrika Kusini kufuatia kuumia mwezi uliopita.

        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: IDDI NADO BAADA YA KUFANYIWA OPERESHENI AFRIKA KUSINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry