WENYEJI, Geita Gold FC wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu mjini Geita. Tanzania Prisons watalala vichwa chini, kwani bao lenyewe mchezaji wao, Adili Buha alijifunga dakika ya 53 katika harakati za kuokoa. Kwa ushindi huo, Geita Gold inafikisha pointi 11 na kupanda hadi nafasi ya nne, wakati Tanzania Prisons inabaki na pointi zake nane katika nafasi ya 14.
Kiwanuka late strike guides Uganda past Burundi
-
Uganda secured a late win over Burundi as the two teams faced off on Sunday
at Hamz Stadium in the return leg of the 2024 African Nations Champions
(CHAN...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment