Friday, December 31, 2021
VINARA, Yanga SC wamefunga mwaka ushindi wa kishindo wa 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo ...
Thursday, December 30, 2021
CHARLES HILLARY ATEULIWA MKURUGENZI MAWASILIANO IKULU ZENJI
Thursday, December 30, 2021
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji nguli wa mpira, Charles Martin Hillary ku...
NAMUNGO FC YALAZIMISHWA SARE 1-1 NA BIASHARA
Thursday, December 30, 2021
WENYEJI, Namungo FC wamelazimishwa sare ya 1-1 na Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Ilulu mj...
YANGA YATAJA VIINGILIO KESHO MECHI NA DODOMA JIJI
Thursday, December 30, 2021
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kesho wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Yanga SC na Dodoma Jiji FC Uwanja wa Benjamin Mkap...
AFCON 2021 LIVE STARTIMES
Thursday, December 30, 2021
KAMPUNI ya Star Media (T) Limited kupitia chapa yake ya Startimes imethibitisha kushirikiana na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) kuony...
AJIBU AONDOKA SIMBA SC, AJIUNGA NA AZAM FC
Thursday, December 30, 2021
KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Ibrahim Ajibu Migomba amesaini mkataba wa mwaka mmoja baada ya kuvunja mkataba wake na Simbs S...
KIINGILIO CHA CHINI SIMBA NA AZAM 5,000 JUMAPILI
Thursday, December 30, 2021
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya Simba SC na Azam FC Jumapili Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es ...
Wednesday, December 29, 2021
YANGA YAMSAJILI KIPA WA MTIBWA SUGAR, MSHERY
Wednesday, December 29, 2021
KLABU ya Yanga imemtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wake mpya wa pili katika dirisha dogo baada y...
KIPANGA 1-1 UHAMIAJI
Wednesday, December 29, 2021
KVZ 4-1 YOSSO BOYS
Wednesday, December 29, 2021
BLACK SAILORS 1-2 MLANDEGE
Wednesday, December 29, 2021
MLANDEGE 1-2 KMKM
Wednesday, December 29, 2021
YOSSO BOYS 0-1 TAIFA JANG'OMBE
Wednesday, December 29, 2021
Tuesday, December 28, 2021
KMC CHUPUCHUPU KUPIGWA NA RUVU CHAMAZI, 1-1
Tuesday, December 28, 2021
BAO la dakika ya mwisho la Charles Ilamfya limeinusuru KMC kupoteza mechi nyumbani baada ya kutoa sare ya 1-1 na Ruvu Shooting katika mchezo...
SIMBA SC YAMTUPIA ‘MAFURUSHI’ YAKE HITIMANA
Tuesday, December 28, 2021
MABINGWA wa Tanzania, SIMBA SC wameachana na kocha wao, Mnyarwanda Thierry Hitimana baada ya miezi mitatu tu kazini. Hitimana alitambulishwa...
MTIBWA SUGAR YAILAZA COASTAL UNION 1-0 MKWAKWANI
Tuesday, December 28, 2021
TIMU ya Mtibwa Sugar imepata ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya l...
MSUVA APANGWA NA ZAMALEK NA TIMU MBILI ZA ANGOLA
Tuesday, December 28, 2021
NYOTA wa Tanzania, Simon Happygod Msuva, timu yake, Wydad Athletic ya Morocco, maarufu Wydad Casablanca imepangwa Kundi D katika Ligi ya Mab...
SIMBA YAPANGWA CHAMA, KISINDA KOMBE LA SHIRIKISHO
Tuesday, December 28, 2021
MABINGWA wa Tanzania, Simba SC wamepangwa Kundi D katika Kombe la Shirikisho Afrika pamoja na RS Berkane ya Morocco wanayochezea Mzambia, Cl...
MAFUNDI WANAPOKUTANA, HESHIMA HUCHUKUA NAFASI YAKE
Tuesday, December 28, 2021
VIUNGO, Mganda Khalid Aucho (28) wa Yanga na Ramadhan Chombo ‘ Redondo’ wa Biashara United (34) katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara J...
Monday, December 27, 2021
YANGA SC 2-1 KAGERA SUGAR
Monday, December 27, 2021
SIMBA QUEENS YASHINDA 8-0, YANGA PRINCESS YADROO
Monday, December 27, 2021
MABINGWA watetezi, Simba Queens wameendelea kugawa maumivu kwa wapinzani katika Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya kuichapa Oysterb...
BODI YA LIGI YAZITAKA KLABU KUBORESHA VIWANJA
Monday, December 27, 2021
BODI ya Ligi Kuu Tanzania Bara ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) imezitaka klabu kutumia kipindi cha mapumziko ya kupisha michuano ya Ko...
MBEYA CITY, KWANZA ZATOA SARE UGENINI LIGI KUU
Monday, December 27, 2021
WENYEJI, Geita Gold wamelazimishwa sare ya 1-1 na Mbeya Kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nyankumbu m...
MZEE KIKWETE AMFARIJI MWAKINYO KUFIWA MAMA
Monday, December 27, 2021
RAIS mstaafu wa Awamu ya nne, Dk. Jakaya MRISHO Kikwete amewasili Jijini Tanga kumfariji bondia Hassan Mwakinyo kwa kufiwa na mama yake mzaz...
KIDUNDA ACHANIKA, PAMBANO LAISHIA RAUNDI YA NNE
Monday, December 27, 2021
PAMBANO kati ya Suleiman Kidunda na Erick Tshimanga Katompa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) liliishia Raundi ya nne baada ya w...
TAIFA JANG'OMBE 1-1 KMKM
Monday, December 27, 2021
Sunday, December 26, 2021
YANGA YATOKA NYUMA TENA KUILAZA BIASHARA 2-1
Sunday, December 26, 2021
WENYEJI, Yanga SC wametoka nyuma na kushinda 2-1 dhidi ya Biashara United katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Ben...
DTB YAENDELEZA MOTO CHAMPIONSHIP, YAILAZA GWAMBINA 5-3
Sunday, December 26, 2021
TIMU ya DTB imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi ya kuwania kupanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara, ijulikanayo kama Championship baada ya us...
PRISONS YAICHAPA KAGERA SUGAR 1-0 KAITABA
Sunday, December 26, 2021
TIMU ya Tanzania Prisons imezinduka kwa ushindi wa ugenini wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Kagera Sugar jioni ya leo Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba...
YANGA SC YAITISHA MKUTANO WA MATAWI JUMATATU JANGWANI
Sunday, December 26, 2021
UONGOZI wa klabu ya Yanga umeandaa Mkutano maalum na viongozi wa matawi yake utakaofanyika Jumatatu makao makuu ya klabu makutano ya mitaa y...
MKONGWE WA KONGO DEO KANDA ATUA MTIBWA SUGAR
Sunday, December 26, 2021
KLABU ya Mtibwa Sugar imemtambulisha winga mkongwe wa kimataifa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Deo Kanda A Mukok kuwa mchezaji w...
Saturday, December 25, 2021
KIPANGA 5-2 MACHOMANNE
Saturday, December 25, 2021
KIPANGA 1-2 KVZ
Saturday, December 25, 2021
KMC 1-4 SIMBA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Saturday, December 25, 2021
HEMED MOROCCO AACHANA NA NAMUNGO FC
Saturday, December 25, 2021
KOCHA Mzanzibari, Hemed Suleiman ‘Morocco’ ameamua kuachana na klabu ya Namungo FC baada ya misimu miwili ya kuiongoza kwa mafanikio.
Friday, December 24, 2021
RASMI, SURE BOY NI MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC
Friday, December 24, 2021
KIUNGO Salum Abubakar 'Sure Boy' ametambulishwa rasmi kuwa mchezaji mpya wa kwanza wa Yanga SC katika dirisha dogo la usajili. Sure ...
YANGA PRINCESS WASHINDA 2-0 DOM LIGI YA WANAWAKE
Friday, December 24, 2021
TIMU ya Yanga Princes imeanza vyema Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Bao Bab Queens Uwanja wa Ja...
KIBU APIGA MBILI SIMBA SC YAITANDIKA KMC 4-1 TABORA
Friday, December 24, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wametoa onyo kali baada ya kuitandika KMC mabao 4-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwan...
COASTAL UNION YAILAZA MBEYA CITY 3-2 MKWAKWANI
Friday, December 24, 2021
WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Mkw...
Subscribe to:
Posts (Atom)