TANZANIA leo imechapwa 2-1 na Ethiopia katika mfululizo michuano ya CECAFA wanawake U20 mchana wa leo Uwanja wa FTC Njeru nchini Uganda. Kipigo hicho kinakuja baada ya Tanzanite kushinda mechi mbili za awali, 1-0 dhidi ya Eritrea na 3-2 dhidi ya Burundi. Tanzanite itashuka tena dimbani Jumamosi kuivaa Uganda kabla ya kukamilisha mechi zake kwa kucheza na Djibouti Novemba 9.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment