KOCHA mpya wa Simba, Mspaniola Pablo Franco Martin jana ameanza na sare ya 2-2 na Cambanso Academy katka mchezo wa kirafiki Uwanja wa Boko Veterani Jijini Dar es Salaam. Simba ilitangulia kwa mabao ya Yussuf Mhilu na Jonas Mkude kwa penalti kipindi cha kwanza, kabla ya Cambianso kusawazisha kipindi cha pili kupitia kwa Hija Shamte na Manzil Mwinyihija.
FUFA President’s New Year Address
-
FUFA President Hon. Magogo Moses Hassim made his first address in the New
Year today in a press briefing held at FUFA Complex Mengo, giving an update
abo...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment