WENYEJI, Azam FC wameibuka na ushindi wa 4-1 dhidi ya JKU ya Zanzibar katika mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Mabao ya Azam FC leo yamefungwa na Mkongo Idris Mbombo moja kwa penalti dakika ya 19 na lingine dakika ya 40 na Wazambia, Charles Zulu dakika ya 23 na Rodgers Kola dakika ya 90, wakati la JKU limefungwa na Mustafa Hassan dakika ya 81 kwa penalti pia.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment