AFISA Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat' jana alitembelea akademi ya klabu ya Queens Park Rangers Jijini London England ikiwa sehemu ya ziara yake nchini England. Akademi hiyo iliyopo category two, ni maarufu kwa kuzalisha wachezaji kama Raheem Sterling na Peter Crouch. Popat ambaye awali alitembelea akademi ya Crystal Palace, yupo katika ziara ya kuitangaza na kuitambulisha Azam FC barani Ulaya hususani England.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment