Tuesday, November 30, 2021
BAO pekee la mshambuliaji Mkongo, Idris Mbombo dakika ya 52 limeipa Azam FC ushindi wa 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu y...
YANGA SC YAICHAPA MBEYA KWANZA 2-0
Tuesday, November 30, 2021
VINARA Yanga SC wametanua uongozi wao hadi pointi tano dhidi ya mabingwa watetezi, Simba SC baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Mbeya ...
SIMBA NA JKT, YANGA NA IHEFU, AZAM NA WARRIORS ASFC
Tuesday, November 30, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wataanza na JKT Tanzania katika Raundi ya Pili ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam ...
Monday, November 29, 2021
DODOMA JIJI YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL
Monday, November 29, 2021
WENYJI, Dodoma Jiji FC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa Jumapili U...
SIMBA SC 3-0 RED ARROWS (KOMBE LA SHIRIKISHO)
Monday, November 29, 2021
Sunday, November 28, 2021
SIMBA YAITANDIKA RED ARROWS 3-0
Sunday, November 28, 2021
SIMBA SC imejiweka katika nafasi nzuri ya kwenda hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ...
REFA ALIYEWAPA YANGA PENALTI ACHUKULIWA HATUA
Sunday, November 28, 2021
REFA Abel William aliyewapa Yanga penalti ya uraia iliyowapatia bao la kusawazisha wako toa sare ya 1-1 na Namungo FC wiki iliyopita Lindi a...
Saturday, November 27, 2021
PRISONS YAIPIGA NAMUNGO 3-1, MCC NA KMC 2-2
Saturday, November 27, 2021
WENYEJI, Tanzania Prisons wamepata ushindi wa pili mfululizo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa Namungo FC mabao 3-1 jioni y...
Friday, November 26, 2021
RUVU SHOOTING YAICHAPA KAGERA 2-1
Friday, November 26, 2021
WENYEJI, Ruvu Shooting wameibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Maba...
SAMATTA AIFUNGIA ANTWERP YATOA SARE UJERUMANI
Friday, November 26, 2021
MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameifungia bao la pili timu yake, Royal Antwerp ikitoa sare ya 2-2 ugenini d...
MSUVA AWAIBUKIA YANGA MAZOEZINI KIGAMBONI
Friday, November 26, 2021
MSHAMBULIAJI wa Wydad Athletic ya Morocco, Simon Happygod Msuva jana ametembelea mazoezi ya timu yake ya zamani, Yanga SC eneo la Avic Tow...
AGGREY MORRIS ASOMEA UKOCHA KOZI YA CAF
Friday, November 26, 2021
BEKI aliyesimamishwa Azam FC kwa utovu wa Nidhamu, Aggrey Morris Ambrose ni miongoni mwa washiriki wa Koziya Ukocha ya CAF Diploma C inayoen...
SIMBA SC NA RED ARROWS SH 5,000 TU
Friday, November 26, 2021
KIINGILIO cha chini katika mchezo wa kwanza wa mchujo wa kuwania kucheza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika baina ya wenyeji, Si...
Tuesday, November 23, 2021
GSM WADHAMINI WAPYA LIGI KUU
Tuesday, November 23, 2021
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Athuman Nyamlani (Kulia) na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Group, Mhandisi Hersi...
MAHOJIANO BIN ZUBEIRY NA HUSSEIN BALLO
Tuesday, November 23, 2021
Monday, November 22, 2021
YANGA SC YAKUBALI YAISHE KWA MORRISON
Monday, November 22, 2021
KLABU ya Yanga imekubaliana na maamuzi ya Mahakama ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) kutupilia mbali kesi yao dhidi ya winga Mghana, Bernard Mo...
YANGA YAIZAWADIA JEZI FAMILIA YA MWALIMU NYERERE
Monday, November 22, 2021
MWENYEKITI wa Yanga SC, Dk. Mshindo Msolla leo amewakabidhi jezi za timu hiyo, mke wa Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mar...
MORRISON AWAGARAGAZA YANGA CAS
Monday, November 22, 2021
MAHAKAMA ya Usuluhishi ya Michezo (CAS) imetupilia mbali kesi ya klabu ya Yanga dhidi ya winga Mghana, Bernard Morrison hadi. Taarifa ya CAS...
TANZANIA YAMALIZA YA PILI COSAFA
Monday, November 22, 2021
TANZANIA jana imemaliza nafasi ya pili kwenye michuano ya Soka la Ufukweni baada ya kufungwa 3-1 na Msumbiji katika Fainali ufukwe wa South ...
Sunday, November 21, 2021
KMC YAPATA USHINDI WA KWANZA LIGI KUU
Sunday, November 21, 2021
TIMU ya KMC imepata ushindi wa kwanza wa msimu baada ya kuichapa Azam FC 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja ...
NAMUNGO FC 1-1 YANGA SC (LIGI KUU)
Sunday, November 21, 2021
Saturday, November 20, 2021
YANGA CHUPUCHUPU KWA NAMUNGO, 1-1
Saturday, November 20, 2021
VINARA, Yanga SC wamepunguzwa kasi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kutoa sare ya 1-1 na wenyeji, Namungo FC jioni ya leo Uwanja wa...
MBEYA CITY YAITANDIKA MTIBWA 3-1
Saturday, November 20, 2021
WENYEJI, Mbeya City wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mchana wa leo Uwanja wa Sok...
RUVU SHOOTING 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Saturday, November 20, 2021
JAMAA WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 11 SPORTPESA
Saturday, November 20, 2021
MKAZI wa Bukoba wilaya ya Muleba Juhudy Stewaty (21) ameibuka mshindi wa Jackpot Bonus baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 12 kati ya 13 na...
Friday, November 19, 2021
TANZANIA YATINGA FAINALI COSAFA UFUKWENI
Friday, November 19, 2021
TANZANIA imefanikiwa kuingia fainali michuano ya COSAFA Soka la Ufukweni baada ya ushindi wa 5-2 dhidi ya Angola leo ufukwe wa South Beach A...
KAGERE APIGA MBILI, SIMBA YAICHAPA RUVU 3-1
Friday, November 19, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wa muda, Ruvu Shooting Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza. Mabao y...
RC, DC WATEMBELEA KITUO CHA TFF KIGAMBONI
Friday, November 19, 2021
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla leo ametembelea mradi wa Kituo cha michezo kinachojengwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), e...
PRISONS YAPATA USHINDI WA KWANZA WA MSIMU
Friday, November 19, 2021
TIMU ya Tanzania Prisons imepata ushindi wa kwanza katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu baada ya kuichapa Mbeya Kwanza 2-1 jioni ya le...
TANZANIA YATOA MCHEZAJI BORA COSAFA
Friday, November 19, 2021
MTANZANIA Erick Manyama amechaguliwa Mchezaji Bora wa Mechi ya Kundi B michuano ya COSAFA Soka la Ufukweni akiiwezesha timu yake ya taifa ku...
UCHAGUZI WA BODI DESEMBA 4 BAGAMOYO
Friday, November 19, 2021
UCHAGUZI wa Bodi ya Ligi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TPLB) sasa utafanyika Desemba 4, mwaka huu mjini Bagamoyo mkoani Pwani. Awali uchag...
Subscribe to:
Posts (Atom)