WENYEJI, West Ham United wametinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya kuitoa Manchester City kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-0 Uwanja wa London Jijiji London. Waliofunga penalti za West Ham ni Mark Noble, Jarrod Bowen, Craig Dawson, Aaron Cresswell na Said Benrahma, wakati za Man City zilifungwa na João Cancelo, Gabriel Jesus na Jack Grealish baada ya Phil Foden kikosi ya kwanza. Mara ya mwisho Manchester City kutolewa kwenye Carabao Cup ilikuwa ilikuwa Oktoba 26, 2016 walipofungwa na mahasimu wao, Man United.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment