WACHEZAJI wa Yanga jana wameshiriki mazishi ya baba wa mchezaji mwenzao, Paul Godfrey Nyang'anya 'Boxer' aliyefariki Dunia Jumatatu Jijini Dar es Salaam. Msiba huo ulitokea wakati Boxer, beki wa kulia akiwa Songea mkoani Ruvuma na timu kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara dhidi ya KMC uliofanyika Jumanne na Yanga ikashinda 2-0 Uwanja wa Maji Maji.
Na baada ya timu kurejea tu Dar es Salaam Jumatano msafara ukaenda hospitali ya Temeke kuuga mwili wa marehemu kabla ya mazishi jioni yake. Mungu ampumzishe kwa amani marehemu. Amin.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment