TANZANIA imekamilisha mechi zake za Kundi B michuano ya COSAFA kwa wanawake kwa ushindi wa 3-0 dhidi ya Sudan Kusini Jumatatu Uwanja wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela Jijini Port Elizabeth, Afrika Kusini. Mabao yote ya Twiga Stars yote yamefungwa na beki Stumai Abdallah Athumani ambaye mwisho wa mchezo alipewa tuzo ya Mchezaji Bora wa Mechi. Mechi za awali, Twiga Stars ilishinda 3-0 dhidi ya Zimbabwe na 2-0 dhidi ya Botswana na kwa kumaliza kama kinara wa Kundi B itakutana na mshindi wa pili wa Kundi A kwenye Nusu Fainali.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment