TIKETI za mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika baina ya wenyeji, Simba SC na Jwaneng Galaxy ya Botswana utakaofanyika Jumapili wiki hii Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam tayari zimeanza kuuzwa. Simba SC ilishinda 2-0 kwenye mchezo wa kwanza Jumapili iliyopita Uwanja wa Taifa Jijini Gaborone na kuelekea mchezo wa marudiano, wanaweza kununua tiketi kupitia mitandao ya simu.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment