TIMU ya Geita Gold imelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Mtibwa Sugar ya Morogoro katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jioni ya Jumamosi Uwanja wa Nyankumbu, Geita. Danny Lyanga alianza kuifungia Geita Gold dakika ya 47, kabla ya Boban Zirintusa kuisawazishia Mtibwa Sugar dakika ya 64 katika mchezo ambao kila timu ilipoteza mkwaju wa penalti. Na Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba, Kagera Sugar ililazimishwa sare ya bila kufungana na Mbeya City.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment