WENYEJI, Benfica wamechapwa mabao 4-0 na Bayern Munich katika mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Luz Jijini Lisbon, Ureno. Mabao ya Bayern Munich yamefungwa na Leroy Sane mawili dakika ya 70 na 84, Éverton aliyejifunga dakika ya 80 na Robert Lewandowski dakika ya 82. Bayern Munich inafikisha pointi tisa na kuendelea kuongoza Kundi E, ikifuatiwa na Benfica yenye pointi nne, Barcelona pointi tatu na Dynamo Kiev yenye pointi moja baada ya mechi tatu za awali.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment