KIUNGO Msenegal, Pape Ousmane Sakho na mshambuliaji Mkongo, Chris Kope Mutshimba Mugalu hawamo kwenye orodha ya wachezaji 23 wa Simba wanaosafiri kwenda Botswana. Simba SC inakwenda Botswana kwa ajili ya mchezo wa kwanza Raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Jwaneng Galaxy Jumapili Jijini Gaborone.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment