KLABU ya Azam FC imewasimamisha wachezaji wake watatu, beki na Nahodha, Aggrey Morris pamoja na Wasaidizi wake, viungo Salum Abubakar 'Sure Boy' na Mudathir Yahya kwa kile kilichoelezwa makosa ya utovu wa nidhamu. Taarifa ya Azam FC iliyotolewa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Thabit Zacharia imesema watatu kwa pamoja walimtolea maneno yasiyofaa Meneja wa timu hiyo, Luckson Kakolaki.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment