KLABU ya Azam FC imetambulisha makocha wawili wa timu zake za vijana, Mohamed Badru, U-17 na Mussa Rashid U-20. Badru amewahi kufundisha klabu za Mtibwa Sugar, Gwambina na Malindi ya kwao, Zanzibar na Rashid amefundisha African Sports ya Tanga na kila mmoja amesaini mkataba wa miaka miwili. Wawili hao wanakwenda kuchukua majukumu yaliyokuwa yanafanywa na Mrundi, Vivier Bahati, ambaye amepandishwa kwenda timu kubwa ya Azam FC, akiwa Kocha Msaidizi wa George Lwandamina.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment