WENYEJI, Leicester City wamewatandika Manchester United mabao 4-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power, Leicester, Leicestershire. Mabao ya Leicester City yamefungwa na Youri Tielemans dakika ya 31, Caglar Soyuncu dakika ya 78, Jamie Vardy dakika ya 83 na mshambuliaji Mzambia, Patson Daka dakika ya 90, wakati ya Man United yamefungwa na Mason Greenwood dakika ya 19 na Marcus Rashford dakika ya 82.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment