HATIMAYE Barcelona imepata ushindi wake wa kwanza katika Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuichapa Dynamo Kiev 1-0, bao pekee la mlinzi Gerard Pique katika mchezo wa Kundi E Uwanja wa Camp Nou. Kwa pointi hizo tatu za kwanza baada ya mechi tatu Barcelona inayofundishwa na kocha Ronald Koeman inapanda nafasi ya tatu, mbele ya Dynamo Kiev yenye pointi moja na nyuma ya Benfica yenye pointi nne na vinara, Bayern Munich wenye pointi tisa.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment