WENYEJI, Watford FC wametandikwa mabao 5-0 na Liverpool katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Vicarage Road, Watford. Mabao ya Liverpool yamefungwa na washambuliaji Msenegal, Sadio Mané dakika ya tisa, Mbrazil Roberto Firmino dakika ya 37, 52 na 90 na Mmisri Mohamed Salah dakika ya 54. Liverpool wanafikisha pointi 18 baada ya ushindi huo kwenye mchezo wa nane na kuendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi mbili zaidi ya Chelsea ambayo baadaye itamenyana na Brentford.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment