TIMU ya taifa ya England jana jana imewachapa wenyeji, Andorra mabao 5-0 katika mchezo wa Kundi I kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Taifa wa Andorra la Vella. Mabao ya England jana yalifungwa na Ben Chilwell dakika ya 17, Bukayo Saka dakika ya 40, Tammy Abraham dakika ya 59. James Ward-Prowse dakika ya 79 na Jack Grealish dakika ya 86, hilo likiwa bao lake la kwanza timu ya taifa na kwa ushindi huo Three Lions wanafikisha pointi 19 na kuendelea kuongoza Kundi hilo.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment