BONDIA Abdallah Shaaban Pazi ‘Dullah Mbabe’ jana aliwasononesha Watanzania baada ya kuchapwa kwa pointi na Tshimanga Katompa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika pambano la raundi 10 ukumbi wa PTA, Temeke Jijini Dar es Salaam. Dullah ambaye Agosti 20 alishindwa pia kwa pointi na Mtanzania mwenzake, Twaha Kassim ‘Kiduku’ – hakuwa katika ubora wake kabisa jana baada ya kuangushwa mara tatu ndani ya raundi ya saba, kabla ya kumalizia raundi tatu za mwisho na kuepuka kipigo cha Knockout.
Ireland game could be 'line in sand' for England
-
England's game against Ireland in the Six Nations could be a 'line in the
sand' for England, while Scotland are among Championship favourites, says
Matt Da...
Aduana Stars part ways with coach Yaw Acheampong
-
Aduana Stars have parted ways with coach Yaw Acheampong after a string of
poor results in the ongoing Ghana Premier League campaign.The two-time
Premier Le...
TP Mazembe win CAF Women’s Champions league trophy
-
TP Mazembe have won the 2024 CAF Women’s Champions League title after they
defeated ASFAR 1-0 in the final on Saturday evening, played at the Ben
M’Hamed...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment