WENYEJI, Chelsea wameibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Stamford Bridge Jijini London. Mabao y Chelsea leo yamefungwa na Trevoh Chalobah dakika ya tisa, Timo Werner dakika ya 84 na Ben Chilwell dakika y 89, wakati la Southampton limefungwa na James Ward-Prowse kwa penalti dakika ya 61. The Blues wanapanda kileleni baada y kufikisha pointi 16 katika mchezo wa saba, mbele ya Liverpool yenye pointi 14 sawa na na Manchester United na Everton zinazofuatia.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment