ALIYEKUWA kiungo wa Simba, Mzambia Clatous Chota Chama ambaye kwa sasa anachezea RS Berkane ya Morocco atawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu uliopita. Chama atawania tuzo hiyo dhidi ya nyota wa Yanga, viungo pia Mkongo Tonombe Mukoko na Mzanzibari, Feisal Salum ' Fei Toto' katika hafla iliyoandaliwa na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment