TIMU ya Biashara United ya Mara imekwama kwenda Libya kwa ajili ya mchezo wa marudiano Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji Al Ahli Tripoli uliopangwa kufanyika kesho Jijiki Benghazi. Biashara United iliyoshinda 2-0 kwenye mechi ya kwanza Jumamosi iliyopita Dar es Salaam imekwama kuondoka hadi leo kutokana na changamoto za usafiri wa anga na sasa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linawasiliana na Shirikisho la Soka Afrika (CAF) mechi hiyo isogezwe mbele.
Samuel Eto’o eyes CAF Exco seat
-
Cameroonian Football Football (FECAFOOT) president Samuel Eto’o is keen to
become a member of the Confederation of African Football (CAF)’s executive
com...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment