Sunday, October 31, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wamelazimishwa sare ya bila kufungana na Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara usiku wa leo U...
SPORTSPESA ILIVYOBADILI TASWIRA YANGA SC
Sunday, October 31, 2021
NDANI ya miaka minne tu, kampuni maarufu zaidi nchini ya michezo ya kubahatisha ya SportPesa ndio inayoshikilia rekodi ya kuwa kampuni iliyo...
DK MSOLLA AENGULIWA UCHAGUZI BODI SABABU YA VYETI
Sunday, October 31, 2021
MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Dk Mshindo Mbette Msolla ameenguliwa kwenye uchaguzi wa Bodi ya Ligi Tanzania kwa kile kilichoelezwa hajakidhi...
YANGA SC 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Sunday, October 31, 2021
MAN UNITED YAZINDUKA, YASHINDA 3-0
Sunday, October 31, 2021
TIMU ya Manchester United imezinduka na kuichapa Tottenham Hotspur mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Tottenham Hotsp...
Saturday, October 30, 2021
YANGA YAIKUNG'UTA AZAM FC 2-0
Saturday, October 30, 2021
MABAO ya washambuliaji Wakongo, Fiston Kalala Mayele na Jesus Ducapel Moloko yameipa Yanga SC ushindi wa 2-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo ...
CHELSEA YAICHAPA NEWCASTLE 3-0 ST JAMES
Saturday, October 30, 2021
TIMU ya Chelsea imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya England baada ya kuwachapa wenyeji, Newcastle United mabao 3-0 leo Uwanja wa...
ARSENAL YAICHAPA LEICESTER 2-0 KING POWER
Saturday, October 30, 2021
MABAO ya Gabriel Magalhães dakika ya tano na Emile Smith Rowe dakika ya 18 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City ...
CRYSTAL PALACE YAICHAPA MAN CITY 2-0 ETIHAD
Saturday, October 30, 2021
MABAO ya Wilfried Zaha ya sita na Conor Gallagher dakika ya 88 yameipa Crystal Palace ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City katika mchezo ...
LIVERPOOL YADUWAZWA NYUMBANI NA BRIGHTON
Saturday, October 30, 2021
WENYEJI, Liverpool wamelazimishwa sare ya 2-2 na Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Live...
TANZANITE YAANZA VYEMA CECAFA U20
Saturday, October 30, 2021
TANZANIA imeanza vyema michuano ya wasichana chini ya umri wa miaka 20 Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge Women’s 20 baada ya kuicha...
DODOMA JIJI YAICHAPA MTIBWA 1-0 UHURU
Saturday, October 30, 2021
TIMU ya Mtibwa Sugar imeendelea kufanya vibaya katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya leo pia kuchapwa 1-0 na Dodoma Jiji FC bao pekee la...
MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA AFARIKI DUNIA
Saturday, October 30, 2021
MCHEZAJI wa zamani wa Simba SC, Akilimali Yahya, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni,...
Friday, October 29, 2021
KAGERA SUGAR YAICHAPA KMC 1-0 UHURU
Friday, October 29, 2021
BAO la Meshack Abraham dakika ya 16 limeipa Kagera Sugar ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, KMC jioni ya leo Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Sal...
SUNDAY MANARA ATEULIWA KAMATI YA UFUNDI YANGA
Friday, October 29, 2021
UONGOZI wa klabu ya Yanga umewateua wachezaji wake wa zamani, Ally Mayai Tembele na Sunday Ramadhani Manara kuunda Kamati ya Ufundi ya klabu...
Thursday, October 28, 2021
ASIYEVAA NEMBO YA NBC ANASHUSHWA DARAJA
Thursday, October 28, 2021
KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB) imesema klabu ambayo haitavaa jezi yenye nembo ya Mdhamini, NBC ku...
LIVERPOOL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA LIGI
Thursday, October 28, 2021
TIMU ya Liverpool imetinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Preston North End usiku huu Uwanj...
WEST HAM YAITOA MAN CITY KWA MATUTA
Thursday, October 28, 2021
WENYEJI, West Ham United wametinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya kuitoa Manchester City kwa penalti 5-3 baada ya sare ya 0-...
Wednesday, October 27, 2021
SIMBA SC YAPOZA MACHUNGU YA GALAXY
Wednesday, October 27, 2021
MABINGWA watetezi, Simba SC wamefuta machozi ya kutolewa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ya Polisi Tanzania katika mch...
TFF YASEMA HAIHUSIKI KUFUKUZWA KWA GOMES
Wednesday, October 27, 2021
SHIRIKISHO la SOKA Tanzania (TFF), limesema halihusiki na kufukuzwa kwa kocha yeyote wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara kama inavyopotoshwa na b...
BIASHARA YAICHAPA PRISONS 3-0 SUMBAWANGA
Wednesday, October 27, 2021
TIMU ya Biashara United imewachakaza wenyeji, Tanzania Prisons mabao 3-0 katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa Nels...
WASHELISHELI KUCHEZESHA STARS NA DRC DAR
Wednesday, October 27, 2021
KUELEKEA mchezo wa Kundi J kufuzu Fainali za Kombe la Dunia dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Shirikisho la Soka Afrika (CAF)...
RAIS SAMIA AWAZAWADIA VIWANJA TWIGA STARS
Wednesday, October 27, 2021
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi ya viwanja kwa timu ya taifa ya wanawake 'Twiga Stars' ...
ARSENAL YAICHAPA LEEDS UNITED 2-0
Wednesday, October 27, 2021
MABAO ya Calum Chambers dakika ya 55 na Eddie Nketiah dakika ya 69 yameipa Arsenal ushindi wa 2-0 dhidi ya Leeds United usiku wa Jumanne Uwa...
CHELSEA YAITOA SOUTHAMPTON KWA MATUTA
Wednesday, October 27, 2021
WENYEJI, Chelsea wamefanikiwa kutinga Robo Fainali ya Kombe la Ligi England baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Southampton kufuatia sa...
Tuesday, October 26, 2021
NI SIMBA NA RED ARROWS KOMBE LA SHIRIKISHO
Tuesday, October 26, 2021
MABINGWA wa Tanzania Simba watamenyana na Red Arrows Zambia katika mchujo wa kuwania Hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho wakianzia nyumb...
SIMBA YAMFUKUZA GOMES NA WASAIDIZI WAKE
Tuesday, October 26, 2021
KLABU ya Simba imetangaza rasmi kuachana na Kocha wake, Didier Gomes Da Rosa siku mbili baada ya timu kutolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrik...
Subscribe to:
Posts (Atom)