SAMATTA AJIUNGA NA STARS KUIVAA MADAGASCAR JUMANNE
NAHODHA Mbwana Ally Samatta jana amejiunga na kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania kuelekea mchezo wa pili wa Kundi J kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Madagascar Jumanne Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Samatta alikosekana kwenye mchezo wa kwanza Alhamisi Taifa Stars ikilazimisha sare ya 1-1 na wenyeji, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi. Kilichomkwamisha Samatta ni kushughulikia ubamisho wake wa mkopo kutoka Fenerbahce ya Uturuki kwendaRoyal Antwerp ya Ubelgiji.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment