// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Saturday, September 04, 2021

        SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR

         

        KIUNGO wa Simba SC, Said Hamisi Juma ' Ndemla' ametambulishwa kuwa mchezaji mpya wa Mtibwa Sugar ya Morogoro. 


        Mtibwa Sugar, mabingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara mara mbili mfululizo, 1999 na 2000 wamemsajili Ndemla kwa mkopo wa mwaka mmoja kutoka Simba.
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: SAID NDEMLA AJIUNGA NA MTIBWA SUGAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry