// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
MTIBWA SUGAR YAENDELEA KUSAJILI CHIPUKIZI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEMTIBWA SUGAR YAENDELEA KUSAJILI CHIPUKIZI LIGI KUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
MTIBWA SUGAR YAENDELEA KUSAJILI CHIPUKIZI LIGI KUU
MABINGWA wa zamani wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, Mtibwa Sugar wameendeleza sera yao ya kusajili wachezaji vijana wadogo kuelekea msimu ujao.
Mtibwa, mabingwa mara mbili mfululizo 1999 na 2000 wamemsajili winga wa kushoto Isaac Kachwele kutoka akademi ya Cambianso ya Temeke Jijini Dar es Salaam.
Wakati Miwa hao wa Manungu pia wamemsajili kiungo George Chotta aliyeibukia akademi ya Moro Kids na kucheza Kitayosce na Mbeya City.
Preview: Arsenal v Tottenham Hotspur
-
Prepare for the north London derby with all the key stats, a guide to
Spurs' tactics, team news, TV listings and much more
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment