REFA Ssali Mashood atapuliza kipyenga kwenye mechi ya Kundi J kufuzu Kombe la Dunia Jumanne baina ya wenyeji, Tanzania na Madagascar Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ssali atasaidiwa na Waganda wenzake, Okello Dick na Katenya Ronald watakaokuwa wanakimbia vibendera pembezoni mwa Uwanja, wakati Subilla Ali Chelangat atakuwa mezani. Mtathmini wa mchezo huo anatarajiwa kuwa Ahmed Ali Mohamed wa Somalia na Kamisaa ni Shilunga Erastus wa Namibia.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment