TIMU ya Manchester United imepata ushindi wa 1-0 ugenini dhidi ya West Ham United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Mshambuliaji Mualgeria, Mohamed Said Benrahma alianza kuifungia West Ham dakika ya 30, kabla ya Cristiano Ronaldo kuisawazishia Man United dakika ya 35 na Jesse Lingard kufunga la ushindi dakika ya 89. Man United inafikisha pointi 13 baada ya ushindi huo, ingawa wanabaki nafasi ya pili wakizidiwa wastani wa mabao tu na Liverpool baada ya wote kucheza mechi tano.
Why it's great to see Axel thriving
-
The one-time Reds captain has taken a different path to becoming a
top-flight regular and that's fine, says Sam Carney.
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment