MSHAMBULIAJI wa Manchester City, Raheem Sterling alidhani amefunga bao la ushindi dakika ya mwisho kabla ya kukataliwa kwa sababu alikuwa ameotea mabingwa hao watetezi wakilazimishwa sare ya 0-0 na wageni, Southampton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad.
Man City inafikisha pointi 10 baada ya mechi tano, ingawa inakamata nafasi ya pili ikizidiwa wastani wa mabao na Liverpool.
Man City inafikisha pointi 10 baada ya mechi tano, ingawa inakamata nafasi ya pili ikizidiwa wastani wa mabao na Liverpool.
0 comments:
Post a Comment