NYOTA wa Bayern Munich, Robert Lewandowski jana amekabidhiwa tuzo ya Kiatu cha Dhahabu Ulaya 2021 baada ya kuwa mfungaji bora wa bara hilo msimu uliopita 2020/21. Mshambuliaji huyo wa kimataifa wa Poland, Lewandowski alifunga mabao 41 katika mechi 29 za Bundesliga akifuatiwa na Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. Wakati Muargentina, Messi alifunga mabao 30 akiwa Barcelona kwenye La Liga, Mreno Cristiano Ronaldo alifunga mabao 29 akiwa Juventus katika Serie A.
Lookman crowned African footballer of the year
-
The 2024 Confederation of African Football (CAF) Award took center stage on
Monday night, with the best talents in African football emerging winners.
The...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment