KLABU ya KMC ya Kinondoni Jijini Dar ea Salaam imeimarisha kikosi chake kwa kusajili wachezaji kadhaa wazoefu akiwemo kipa Mkenya Faruk Shikaro na mshambuliaji mzawa, Miraj Athumani 'Madenge'. Shikaro aliidakia Yanga SC kwa misimu miwili iliyopita akotokea Bandari ya kwao, Mombasa wakati Miraj aliibukia timu ya vijana ya Simba mwaka 2013 kabla ya kwenda kucheza Toto Africans ya Mwanza 2015 hadi 2016 alipohamia Mwadui FC hadi 2018 alipojiunga na Lipuli kabla ya kurejeshwa Msimbazi mwaka 2019.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment