UONGOZI wa klabu ya Yanga umemrejesha Mrundi, Cedric Kaze kuwa Kocha Msaidizi ws klabu hiyo chini ya Mtunisia, Nasreddine Nabi. Kazi alikuwa Kocha Mkuu wa Yanga msimu uliopita na akafukuzea kwa matokeo mabaya kabla ya ujio wa Nabi.
Aidha, Yanga pia imerejesha Mkongo, Mwinyi Zahera kuwa Mkurugenzi wa Maendeleo Soka la Vijana baada ya awali kuwa Kocha Mkuu wa klabu mwaka juzi kabla ya kufukuzwa pia kwa matokeo yasiyoridhisha.
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment